Nipende nikupende
pendo nipende habibu, mwengine nisimpende
Huba zako mjarabu, nipe kwengineko nisiende
nizamishe kwenye hibu, kwengineko nisiende
mapenzi ni nusu mbili, unipende nikupende.
Nena neno taratibu, ovyo...