...

12 views

Chaguo la moyo
Kwa niaba ya mtandao salamu zetu zilikutana .
Nyuso zetu zikapatana ,
Mioyo yetu zikajibizana ,
Mie ni kawa na waza jinsi nilikuwa na hisi , kama mume wa kukuenzi kama wangu wa moyo na nisiwe mwizi kama fisi .
Na akili isini ruke kama chizi bali niwe karibu na Kristo kama kama kasisi .