...

3 views

Mama
Kila kitu na asili, chanzo changu tumbo lako
Kabla niwe hata mwili, au mtu mwenye miko
Mamangu ulinijali, ukanihifadhi mwako
Asante sana mamaangu, ninakupenda daima

Unashinda kila hali, kwa hilo...