...

8 views

DHAHABU
Dedicated to:Angela John

Dhahabu ni moja kati ya mengi binadamu athaminiyo,nami nilija kupatana na dhahabu.Nikaienzi na kukaa nayo kwa muda mrefu.Nikaipenda nayo ikanipenda sana.Lakini kwa sababu zisizoepukika,sote tukatengana.Mimi na dhahabu yangu.Kisa,sote kamaliza kilichotukutanisha.Yaliyobakia ni kuomba Mola kutulinda mimi na dhahabu yangu.Natazamia kuirudisha kiganjani ila imeshindikana kwa sababu nyingi kilimwengu.Ewe dhahabu yangu,nakuombea jaala popote pale ulipo hadi Maulana atukutanishe tena tukaishi kuonana kila kuchao.
******
© Carolyneloiser