...

4 views

Alipokataa kurudi nyumbani
Alipokataa kurudi nyumbani...

NIMESHAPATA
Njiwa peleka ujumbe,kwa yule wangu muhibu
Aleninywesha kikombe,cha dhiki na masaibu
Na akaniacha hambe,sina kitu ela tabu
Mwambie nimeshapata,aridhiye moyo wangu

Usiseme kwa vijembe,mambo ukayaharibu
Na wala usimchimbe,japo ni msi adabu
Sema naye ka mjumbe,mwingi wa ustarabu
Mwambie nimeshapata,...