Daima Nasi
leo tupo huru, tunaamua tunachotaka
umetuachia Nuru,hakuna kusikitika
hatulipii ushuru, Amani nyingi yamwagika
Furaha ni kauli mbiu ,hakuna tena weweseka
ulijitoa kafara,ili tuwe na Amani
sasa twaweza lala ,bila ogopa chochote Yani
uogo wala, sina wasiwasi asubuhi mpaka jioni
upo kwenye zetu Sara , umetuachia furaha mioyoni.
...