Poly Swahili Love ❤️
TO:MY DARLING
FROM:POLYCAP
Dear,
Wewe ndiwe wangu jua, gizani umenitoa. My dear, nimekuchagua wewe kwenye hii dunia. Kwako tuli nimetulia. Wanichombeza penzi nzuri Kama kwenye tamthilia.
Tumo ndani ya basi LA mapenzi, na Mimi na wewe ndio abiria.
Nikikaa kimya haimanishi sijali hali yako. Nikitafakali wanijia sura yako. Nikifumba macho nahisi Niko karibu yako. Yote sababu, nakupenda pekee yako. Wewe wangu tabibu.
Kukupenda kwangu, sio ajabu. Bali, tabia zako na uzuri wako ndio sababu. ...