VIPAJI VYANGU
Mpira naweza cheza, siku nyingi sijacheza,
Shairi la kingereza, kichwani nimewekeza,
Beti nimewekeza, mdomo unaeleza,
Ambacho sijakiweza, ile kujiendeleza.
Nawezaje kutangaza? Mashairi kutangaza! ?
fedga zimeniteleza, google bure nimejaza,
Nafikiri na kuwaza, kuyaimba nakataza,
Acha niite baraza, kitu naweza...